ダルエスサラーム便り


タンザニアからの手紙

Upepo wa Tanzania

Habari kutoka Lukani


キンゴルウィラ村便り/Habari kutoka Kingolwira

サルム・グビ Salum NGUBI グビ

Habari kutoka Kingolwira 2006



Kingolwira kijiji ambacho kipo katika mkoa wa Morogoro katika barabara ya Morogoro. Kwa sasa wanakijiji wanashugulikia na maandalizi ya kilimo hali hewa ni jua kali sana.(joto)
Pamoja na kushughulikia na kilimo pia huu ni wakati wa sherehe za mila. Hasa huwafanyia watoto ambao wamefikia umri wa utu uzima, sherehe ni ngoma za kienyeji pamoja na shughuli hizo pia wanakijiji wameshiriki katika kampeni za uchaguzi kuwa hiyo kwa sasa wanakijiji shughuli nyingi.
Tarehe 8 mwezi wa 1, 2006, familia ya Ngubi na Sherehe ya ngoma kwa ajiri ya vijana wao Ada.S. Ngubi, Zubeda.H.Ngubi na Hamilu Katoto. Mnakaribishwa.

(1/1/2006)



キンゴルウィラ村はモロゴロ州の中のモロゴロロード沿いにあります。村人たちはこの日差しの強い(暑い)時期は農作業の準備をしています。
 農作業のほかに今は伝統的なお祝いごとの季節でもあります。特に子どもたちが大人になる年齢になったお祝いをするのです。村の太鼓で祝います。  それとともに(先月は)選挙戦の最中だったので、村人たちは選挙のキャンペーンにも参加していました。村人たちはやることがいっぱいです。
 2006年1月8日にはグビ一家の子どもたち、アダ・グビ、ズベラ・グビ、ハミル・カトトのお祝いをします。どうぞ皆さん、いらしてください。

      

(2006年1月1日)





Ndugu Ngubi yuko shamba la mhindi
グビさんとトウモロコシ畑

Kutengeneza capati/チャパティ作り


キンゴルウィラ村へのお誘いへ

トップページへ戻る