キンゴルウィラ村便り/Habari kutoka Kingolwira | サルム・グビSalum NGUBI | ![]() |
Habari kutoka Kingolwira -No.13Pamoja na mvua kuna chache wakati huu. Lakini wanakijiji bado hawajakata na Kilimo. Kwa wakati huu wanaendelea kupalilia mazao kama vile mahindi, mpunga, ufuta, alizeti n.k. Mbali na kilimo pia kwa msimu huu nwanatayarisha sehemu za kutengenezea matofari ya udongo wa ajili ya ujenzi ambao mara nyuingi huanza mwezi wa sita na kuendelea. Pia mwanzoni mwa mwaka huu wanakijiji wamepanga kujenga jengo la maktaba ya wazi kwa wanakijiji wote na hasa vijana wa shule. Mradi huu umebuniwa na Viongozi na kijiji, na pia katika maktaba hiyo wataweka TV ambayo wanafikiria itawasaidia kupata habari mbalimbali zikiwemo taarifa za habari za kila siku na vikao vya bunge. (15/05/2012) 今年のキンゴルウィラ村の気候は、雨量がいろいろな作物を植えるためには、十分ではありませんでした。しかし、止まったあとに2日続けて降りました。 この時期、降水量が少ないからと言って、村人たちは農作業をまだあきらめてません。 この時期、村人たちは、トウモロコシ、米、ゴマ、ヒマワリなどのために除草作業をしています。 農作業以外では、多くの場合、6月(乾季)以降に始まる建築作業のために、この季節には、日干しレンガ作りの作業をする場所を整地します。 今年の初めに、村人たちは、村人たち全員と児童生徒たちにに開かれた図書館の建物を建てる計画を立てました。この計画は村のリーダーたちによって立てられました。図書館にはテレビも設置されます。そうすれば、村人たちが国会の討論を含めたいろいろなニュースを毎日得ることができるでしょう。 (2012年5月15日)
|