Habari kutoka Kingolwira*
Habari kutoka Lukani*歴代スタッフのHabariの本棚
キンゴルウィラ村便り/Habari kutoka Kingolwira | サルム・グビ Salum NGUBI | ![]() |
Habari kutoka Kingolwira 2006-No.3Karibu miaka mingi iliyopita mvua hazikuwa zinazonyesha misimu wa vuli hazikwepo, kwa hiyo wanakijiji wamepata bahati na bila kutegemea wameanza kilimo cha mazao kama vile mahindi na kupanda miti. Pia msimu huu wanakijiji wanafayna sherehe/ngoma kuwa wote wenye watoto kuanzia miaka 14 na kuendelea hasa wasichana. Ni kawaida kufanya shrehe kama hizi kila mwishoni mwa mwaka kwa sababu watoto wote wanakuwa kwenye mapumziko.(Likizo) (15/12/2006) キンゴルウィラ村は広い範囲にわたって雨が降るいい季節を迎えています。ここ数年小雨季にはあまり雨が降りませんでした。だから村人たちはとうもろこしや苗木を植えたりすることができずにいました。 また、この季節は14歳ころの少女たちを持つ人たちにとってのお祝い(太鼓:成人の)の季節でもあります。 こういったお祝いはいつも年末に行われます。子どもたちの学校が休みの時期だからです。 (2006年12月15日) |
![]() Kijiji cha Kingolwira 村のようす |
![]() Shamba la kijijini 村の畑にて |